Isaya 44:18 BHN

18 Watu hao hawajui wala hawaelewi kitu chochote. Wamefumbwa macho wasiweze kuona; kadhalika na akili zao wasiweze kufahamu.

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:18 katika mazingira