Isaya 44:2 BHN

2 Mimi, Mwenyezi-Mungu Muumba wako,niliyekufanya tangu tumboni mwa mama yako,nimekuja kukusaidia wewe.Mimi Mwenyezi-Mungu nasema:Usiogope, ewe taifa la Yakobo, mtumishi wangu,naam, usiogope ewe Yeshuruni mteule wangu.

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:2 katika mazingira