26 Lakini huuthibitisha ujumbe wa mtumishi wangu,na kukamilisha maaguzi ya wajumbe wangu.Mimi ndimi niuambiaye mji wa Yerusalemu:Wewe Yerusalemu, utakaliwa tena na watu.Na miji ya Yuda:Nyinyi mtajengeka tena:Magofu yenu nitayarekebisha tena.
Kusoma sura kamili Isaya 44
Mtazamo Isaya 44:26 katika mazingira