28 Ndimi nimwambiaye Koreshi:Wewe utawachunga watu kwa niaba yangu.Wewe utatekeleza mipango yangu yote.Ndimi ninayesema kuhusu Yerusalemu:Wewe Yerusalemu utajengwa tena upya;na juu ya hekalu: Msingi wako utawekwa tena.”
Kusoma sura kamili Isaya 44
Mtazamo Isaya 44:28 katika mazingira