Isaya 45:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu, Mtakatifu wa Israeli,Mungu, Muumba wa Israeli asema:“Je, mwathubutu kuniuliza juu ya watoto wangu,au kuniamuru juu ya kazi zangu mwenyewe?

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:11 katika mazingira