Isaya 45:20 BHN

20 Enyi watu wa mataifa mliosalia,kusanyikeni pamoja mje!Nyinyi mmekosa akili:Nyinyi mwabeba sanamu za mitina kumwomba mungu asiyeweza kuokoa watu.

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:20 katika mazingira