Isaya 45:23 BHN

23 Mimi nimeapa kwa nafsi yangu,ninachotamka ni ukweli,neno langu halitarudi nyuma:Kila binadamu atanipigia magoti,kila mtu ataapa uaminifu.

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:23 katika mazingira