Isaya 45:9 BHN

9 Ole wake mtu ashindanaye na Muumba wake,mtu aliye chombo cha udongokushindana na mfinyanzi wake!Je, udongo humwuliza anayeufinyanga:“Unatengeneza nini hapa?”Au kumwambia, “Kazi yako si kamili!”

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:9 katika mazingira