1 “Wewe Beli umeanguka;Nebo umeporomoka.Wakati mmoja watu walibeba sanamu zenu.Sasa wanazibeba mgongoni mwa wanyama,hao wanyama wachovu wamelemewa.
Kusoma sura kamili Isaya 46
Mtazamo Isaya 46:1 katika mazingira