Isaya 47:13 BHN

13 Wewe umejichosha bure na washauri wako.Basi, na wajitokeze hao wanajimu wakuokoe!Wao huzigawa mbingu sehemusehemu,huzichunguza nyotana kubashiri kila mwezi yatakayokupata.

Kusoma sura kamili Isaya 47

Mtazamo Isaya 47:13 katika mazingira