13 Kwa mkono wangu niliuweka msingi wa dunia,mimi mwenyewe nilizitandaza mbingu.Nikiziita mbingu na dunia,zinasimama haraka mbele yangu.
Kusoma sura kamili Isaya 48
Mtazamo Isaya 48:13 katika mazingira