Isaya 49:1 BHN

1 Nisikilizeni, enyi nchi za mbali,tegeni sikio, enyi watu wa mbali!Mwenyezi-Mungu aliniita kabla sijazaliwa,alitaja jina langu nikiwa tumboni mwa mama yangu.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:1 katika mazingira