Isaya 49:13 BHN

13 Imbeni kwa furaha, enyi mbingu!Shangilia ewe dunia.Pazeni sauti mwimbe enyi milima,maana Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake,naam, atawaonea huruma watu wake wanaoteseka.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:13 katika mazingira