Isaya 49:6 BHN

6 Yeye asema: “Haitoshi tu wewe kuwa mtumishi wangu,uyainue makabila ya Yakobo,na kurekebisha watu wa Israeli waliobaki.Nitakufanya uwe mwanga wa mataifa,niwaletee wokovu watu wote duniani.”

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:6 katika mazingira