Isaya 5:12 BHN

12 Katika karamu zao, hapakosekani vinubi,zeze, matari, filimbi na divai.Lakini hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu,wala kuzitambua kazi za mikono yake.

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:12 katika mazingira