Isaya 5:18 BHN

18 Ole wao wanaoburuta uovu kama kwa kamba;wanaokokota dhambi kama kwa kamba za mkokoteni.

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:18 katika mazingira