Isaya 5:20 BHN

20 Ole wao wanaosema uovu ni wemana wema ni uovu.Giza wanasema ni mwangana mwanga wanasema ni giza.Kichungu wanasema ni kitamuna kitamu wanakiona kuwa kichungu.

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:20 katika mazingira