Isaya 5:25 BHN

25 Kwa hiyo hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwawakia watu wake,akaunyosha mkono wake dhidi yao, akawachapa,hata milima ikatetemeka,maiti zao zikawa kama takatakakatika barabara za mji.Hata hivyo, hasira yake haikutulia,mkono wake bado ameunyosha kuwaadhibu.

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:25 katika mazingira