Isaya 50:4 BHN

4 Bwana Mungu amenipa ufasaha wa lugha,niwatie moyo wale waliochoka.Kila asubuhi hunipa hamuya kusikiliza anayotaka kunifunza.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:4 katika mazingira