17 Amka ewe Yerusalemu!Amka usimame wima!Mwenyezi-Mungu amekunywesha kikombe cha ghadhabu yake,nawe umeinywa mpaka tone la mwisho,mpaka ukayumbayumba.
Kusoma sura kamili Isaya 51
Mtazamo Isaya 51:17 katika mazingira