Isaya 52:5 BHN

5 Katika hali ya sasa napata faida gani kuwaona watu wangu wamepelekwa utumwani? Hao wanaowatawala wanajitapa. Nalo jina langu laendelea kudharauliwa kila siku.

Kusoma sura kamili Isaya 52

Mtazamo Isaya 52:5 katika mazingira