7 Tazama inavyopendezakumwona mjumbe akitokea mlimani,ambaye anatangaza amani,ambaye analeta habari njema,na kutangaza ukombozi!Anauambia mji wa Siyoni:“Mungu wako anatawala!”
Kusoma sura kamili Isaya 52
Mtazamo Isaya 52:7 katika mazingira