4 Usiogope maana hutaaibishwa tena;usifadhaike maana hutadharauliwa tena.Utaisahau aibu ya ujana wako,wala hutaikumbuka tena fedheha ya ujane wako.
Kusoma sura kamili Isaya 54
Mtazamo Isaya 54:4 katika mazingira