Isaya 55:10 BHN

10 “Kama vile mvua na theluji ishukavyo toka mbinguni,wala hairudi huko bali huinywesha ardhi,ikaifanya ichipue mimea ikakua,ikampatia mpanzi mbegu na kuwapa watu chakula,

Kusoma sura kamili Isaya 55

Mtazamo Isaya 55:10 katika mazingira