3 “Tegeni sikio enyi watu wangu, mje kwangu;nisikilizeni, ili mpate kuishi.Nami nitafanya nanyi agano la milele;nitawapeni fadhili nilizomwahidi Daudi.
Kusoma sura kamili Isaya 55
Mtazamo Isaya 55:3 katika mazingira