7 Waovu na waache njia zao mbaya,watu wabaya waachane na mawazo yao mabaya;wamrudie Mwenyezi-Mungu apate kuwahurumia,wamwendee Mungu wetu maana atawasamehe.
Kusoma sura kamili Isaya 55
Mtazamo Isaya 55:7 katika mazingira