Isaya 57:11 BHN

11 “Mlimwogopa na kutishwa na nanihata mkasema uongo,mkaacha kunikumbuka mimina kuacha kabisa kunifikiria?Mimi sikuwaambia kitu kwa muda mrefu;ndio maana labda mkaacha kuniheshimu!

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:11 katika mazingira