8 Nyuma ya milango na miimommetundika kinyago chenu.Nyinyi mnaniacha mimina kutandika na kuvipanua vitanda vyenu.Mnafanya mapatano na hao mliopenda vitanda vyao.Humo mnazitosheleza tamaa zenu mbaya,huku mnakodolea macho kinyago chenu.
Kusoma sura kamili Isaya 57
Mtazamo Isaya 57:8 katika mazingira