Isaya 59:13 BHN

13 Tumekuasi na kukukana ee Mwenyezi-Mungu,tumekataa kukufuata ewe Mungu wetu.Udhalimu na uasi ndivyo tunavyopania,mioyoni mwetu twatunga na kutoa maneno ya uongo.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:13 katika mazingira