15 Ukweli umekosekana,naye anayeacha uovu hunyanyaswa.Mungu aliona mambo hayo, akachukizwa,alichukizwa kwamba hakuna haki.
Kusoma sura kamili Isaya 59
Mtazamo Isaya 59:15 katika mazingira