Isaya 59:17 BHN

17 Alivaa uadilifu kama vazi la kujikinga kifuani,na wokovu kama kofia ya chuma kichwani.Atajivika kisasi kama vazi,na kujifunika wivu kama joho.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:17 katika mazingira