Isaya 6:13 BHN

13 Hata wakibaki watu asilimia kumi,nao pia watateketezwa.Hao watakuwa kama mvinje au mwaloniambao kisiki chake kimebaki baada ya kukatwa.”(Kisiki hicho ni mbegu takatifu ya chanzo kipya.)

Kusoma sura kamili Isaya 6

Mtazamo Isaya 6:13 katika mazingira