Isaya 6:2 BHN

2 na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia.

Kusoma sura kamili Isaya 6

Mtazamo Isaya 6:2 katika mazingira