Isaya 60:2 BHN

2 Tazama, giza litaifunika dunia,giza nene litayafunika mataifa;lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia,utukufu wake utaonekana kwako.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:2 katika mazingira