9 Wazawa wao watakuwa maarufu kati ya mataifa;watajulikana kuwa maarufu kati ya watu wengine.Kila atakayewaona atakiri kwambawao ni watu aliowabariki Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili Isaya 61
Mtazamo Isaya 61:9 katika mazingira