Isaya 63:14 BHN

14 Kama ng'ombe wapelekwavyo malishoni bondeni,ndivyo roho ya Mungu ilivyowapumzisha watu wake.Ndivyo ee Mungu ulivyowaongoza watu wako,nawe ukajipatia jina tukufu.”

Kusoma sura kamili Isaya 63

Mtazamo Isaya 63:14 katika mazingira