5 Nilitazama na hapakuwa na wa kunisaidia;nilishangaa hapakuwa na wa kuniunga mkono.Lakini nilijipatia ushindi kwa mkono wangu,ghadhabu yangu ilinihimiza.
Kusoma sura kamili Isaya 63
Mtazamo Isaya 63:5 katika mazingira