Isaya 63:7 BHN

7 Nitasimulia fadhili za Mwenyezi-Mungu;nitataja matendo yake yote yastahiliyo sifa,kwa sababu ya yote aliyotutendea,wema wake mkuu aliowapa Waisraeli kwa huruma yake,kadiri ya wingi wa fadhili zake.

Kusoma sura kamili Isaya 63

Mtazamo Isaya 63:7 katika mazingira