2 Ingeteketea kama moto uchomavyo kichaka,kama vile moto uchemshavyo maji.Njoo upate kuwajulisha maadui zako jina lakonayo mataifa yatetemeke kwa kuwako kwako!
Kusoma sura kamili Isaya 64
Mtazamo Isaya 64:2 katika mazingira