Isaya 65:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu asema;“Nilikuwa tayari kujioneshakwao wasiouliza habari zangu.Nilikuwa tayari kuwapokeawale wasionitafuta.Nililiambia taifa ambalo halikuomba kwa jina langu:‘Nipo hapa! Nipo hapa!’

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:1 katika mazingira