Isaya 65:7 BHN

7 Mimi Mwenyezi-Mungu, nitawalipiza maovu yaowayalipie na maovu ya wazee wao.Wao waliifukizia ubani miungu yao milimani,wakanitukana mimi huko vilimani.Nitawafanya walipe kwa wingi,watayalipia matendo yao ya awali.”

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:7 katika mazingira