Isaya 66:18 BHN

18 Nayajua matendo yao na mawazo yao. Naja kuwakusanya watu wa mataifa yote na lugha zote, wajumuike pamoja na kuuona utukufu wangu.

Kusoma sura kamili Isaya 66

Mtazamo Isaya 66:18 katika mazingira