4 Basi, nitawaletea taabu;yatawapata yaleyale wanayoyahofia;maana nilipoita hakuna aliyeitika,niliponena hawakusikiliza.Bali walifanya yaliyo maovu mbele yangu,walichagua yale ambayo hayanipendezi.”
Kusoma sura kamili Isaya 66
Mtazamo Isaya 66:4 katika mazingira