2 Mfalme wa Yuda alipopata habari kwamba Waashuru wanashirikiana na Waisraeli, yeye pamoja na watu wote wa Yuda waliogopa na kutetemeka kama miti inayotikiswa na upepo.
Kusoma sura kamili Isaya 7
Mtazamo Isaya 7:2 katika mazingira