Isaya 7:25 BHN

25 Nayo milima yote iliyokuwa ikilimwa itakuwa imejaa mbigili na miiba, hata hakuna mtu atakayejaribu kwenda huko, badala yake itakuwa malisho ya ng'ombe na kondoo.

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:25 katika mazingira