Isaya 7:6 BHN

6 ‘Twende kuivamia nchi ya Yuda, tuwatie watu hofu, tuitwae nchi na kumtawaza mwana wa Tabeeli awe mfalme wao.’

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:6 katika mazingira