21 Watu watatangatanga nchini wamefadhaika sana na wenye njaa. Na wakiwa na njaa, hasira zitawawaka na kumlaani mfalme wao kadhalika na Mungu wao. Watatazama juu mbinguni
Kusoma sura kamili Isaya 8
Mtazamo Isaya 8:21 katika mazingira