7 basi, mimi Bwana nitawaletea mafuriko makuu ya maji ya mto Eufrate yaani mfalme wa Ashuru na nguvu zake zote; yatafurika na kupita kingo zake.
Kusoma sura kamili Isaya 8
Mtazamo Isaya 8:7 katika mazingira