9 Unganeni enyi watu wa mataifa nanyi mtafedheheshwa!Sikilizeni enyi nchi za mbali duniani!Jiwekeni tayari na kufedheheshwa;naam, kaeni tayari na kufedheheshwa.
Kusoma sura kamili Isaya 8
Mtazamo Isaya 8:9 katika mazingira