Isaya 9:12 BHN

12 Waaramu upande wa mashariki,Wafilisti upande wa magharibi,wamepanua vinywa vyao kuimeza Israeli.Hata hivyo, hasira yake haijatulia,bado ameunyosha mkono wake.

Kusoma sura kamili Isaya 9

Mtazamo Isaya 9:12 katika mazingira